Murray 866079-00 Manuel Utilisateur page 89

Table des Matières

Publicité

Les langues disponibles
  • FR

Les langues disponibles

  • FRANÇAIS, page 38
TATIZO
Wengo wa kifaa cha kudhibiti mtiririko wa
mafuta au nguvu ya injini haiko katika nafasi
sahihi kwa hali iliyopo.
Wenzo ya kudhibiti injini haijawashwa
Tangi la mafuta ni tupu.
Kichujio hewa kiko kichafu.
Spaki Plagi haijashika vizuri.
Buti ya spaki plagi haijashika vizuri au imeten-
ganishwa kutoka kwa spaki plagi.
Pengo kati ya elektrodi za spaki plagi haiko
Injini haiwaki.
sawa.
Spaki Plagi iko na shida
Injini imejazwa na mafuta
Kabureta imejazwa
Mfumo wa kuwasha unashindwa kutoa umeme Wasiliana na muuzaji aliyeidhinishwa wa Briggs & Stratton.
Uchafu, maji, au tanki ya mafuta iliyooza.
Injini iko na shida
kuwaka au inapo-
Shimo katika kifuniko ya tenki ya mafuta
teza moto.
imezibwa.
Kichujio cha kuchuja hewa kiko kichafu.
Spaki Plagi iko na shida
Pengo kati ya elektrodi za spaki plagi haiko
Injini haitabiriki.
sawa.
Kipengele cha kichujio hewa ni kichafu.
Kipengele cha kichujio hewa ni kichafu.
Injini inanguruma
Nafasi za hewa katika kifuniko ya injini zimezi-
kihafifu.
bwa.
Mapezi ya kupoesha na vifungu vya hewa chini
ya makazi ya kipulizo ya injini yamezibwa.
Injini inaruka ka-
Pengo kati ya elektrodi za spaki plagi iko
tika kasi iliyo juu.
ndogo sana.
Hewa ya kupoza ina vikwazo.
Injini inachemka
Spaki Plagi isiyo sahihi.
Muunganisho wa kukata haujashika vizuri.
Mahine ina-
tetemeka kwa hali
isiyo ya kawaida
Muunganisho wa kukata hauna uwiano.
SABABU YA KUAMINIKA
HATUA YA UTATUZI
Enda kwa muuzaji aliyethibitishwa na Briggs&Stratton
asongeza wenzo wa kifaa cha kudhibiti mtiririko wa ma-
futa au nguvu ya injini hadi kwa nafasi sahihi.
Vuta wenzo ya kudhibiti injini dhidi ya mpini wa juu.
Jaza tangi na mafuta-Rejea mwongozo wa opereta wa injini
Safisha kichujio cha hewa au ubadilishe kichujio cha
hewa- Rejea mwongozo wa opereta wa injini
Kaza spaki plagi-Rejea mwongozo wa opereta wa injini
Buti ya Spaki Plagi
Rejea mwongozo wa operator wa injini ili uweke pengo
sahihi
Weka spaki plagi mpya na ya kihalisi ya Briggs&Stratton
--Rejea mwongozo wa opereta wa injini
Toa buti ya spaki plagi kutoka kwa spaki plagi, toa spaki
plagi, safisha mafuta kwa spaki plagi, na uvute kamba ya
kuwasha mara tano ili ufanye mafuta katika chumba cha
kuchoma ndani ya injini yaishe, kisha uweke spaki plagi
na buti ya spaki plagi.
Enda kwa muuzaji aliyethibitishwa na Briggs&Stratton
aisafishe kabureta au aibadilishe na kabureta nyingine
mpya na halisi
Mwaga mafuta na uoshe tenki. Jaza tenki na mafuta safi
na mbichi
Safisha au badilisha kifuniko ya tenki ya mafuta.
Safisha kichujio cha hewa au ubadilishe kichujio cha hewa.
Weka spaki plagi mpya na ya kihalisi ya Briggs&Stratton
--Rejea mwongozo wa opereta wa injini
Rejea mwongozo wa operator wa injini ili uweke pengo
sahihi
Safisha Kipengele cha kichujio hewa au badilisha kip-
engele cha kichujio hewa- Rejea mwongozo wa operator
wa injini
Safisha Kipengele cha kichujio hewa au badilisha kip-
engele cha kichujio hewa- Rejea mwongozo wa operator
wa injini
Toa uchafu kutoka kwa nafasi za hewa katika kifuniko ya
injini.
Toa uchafu kutoka kwa mapezi ya kupoesha na vifungu
vya hewa.
Weka pengo kati ya elektrodi- Rejea mwongozo wa op-
erator wa injini ili uweke pengo sahihi
Toa uchafu wote kutoka nafasi za sanda, makazi ya kipu-
lizo, vifungu vya hewa.
Pata marekebisho sahihi ya spaki plagi halisi kutoka kwa
ajenti aliyethibitishwa wa Briggs & Stratton.
Enda kwa muuzaji aliyethibitishwa na Briggs&Stratton
ashikanishe ubapa na nguvu kati ya 45N.m-55N.m.
Enda kwa muuzaji aliyethibitishwa na Briggs&Stratton
abadilishe na ubapa mpya.
17

Publicité

Table des Matières
loading

Ce manuel est également adapté pour:

866081-00866083-00866084-00866085-00866086-00866087-00

Table des Matières