Murray 866079-00 Manuel Utilisateur page 83

Table des Matières

Publicité

Les langues disponibles
  • FR

Les langues disponibles

  • FRANÇAIS, page 38
6.5.2 Jinsi ya Kuongeza Mafuta kwa injini
!
KUMBUKA! Ili kuzuia uharibifu wa injini, injini
inasafirishwa bila mafuta yoyote. Injini lazima ijazwe na
mafuta ambayo yamekubaliwa na sehemu ya Mapendekezo ya
Mafuta katika mwongozo wa opereta wa injini.
!
ILANI! Mafuta na mvuke wake unaweza kuwaka moto
haraka sana na kulipuka. Moto au mlipuko unaweza
kusababisha majeraha mabaya ya moto au kifo.
- Usiwahi toa kifuniko kwa tenki ya mafuta au kuongeza
mafuta wakati injini inatumika au wakati injini iko moto.
- Jaza au toa mafuta tu katika eneo iliyo na usambazaji wa
hewa vizuri.
- Usivute sigara au kuruhusu moto au cheche katika aidha
mazingira ambayo tenki inajazwa au kutolewa mafuta au
mahali mafuta imehifadhiwa.
- Usijaze tenki ya mafuta kupindukia.
- Ikiwa mafuta yamemwagika, usijaribu kuwasha injini lakini
ondoa mashine mbali na eneo lililomwagika na epuka kuunda
chanzo chochote cha mwako mpaka mivuke ya mafuta
itawanyike.
- Rudisha vizuri vifuniko vyote vya tenki ya mafuta na kontena.
!
ILANI! Epusha ngozi kugusana na petroli mara kwa
mara au kwa muda mrefu na pia kuvuta pumzi ya mvuke
wa petroli.
!
KUMBUKA! Tafadhali fuata kifungu cha Jinsi ya
Kuongeza Mafutakatika mwongozo wa opereta wa injini
kwa makini ili ujaze mafuta katika injini yako.
7. Kubadilisha
7.1 Kuweka Urefu wa Nyasi Itakayokatwa
!
TAHADHARI! Badilisha urefu wa nyasi itakayokatwa
tu wakati injini imesimamishwa na buti ya spaki plagi
imetanganishawa na spaki plagi.
Rejelea sehemu ya 2. Vipengele Maalum kupata urefu wa
kukata kwa kila modeli.
Kwa Modeli MP450D20
1. Toa magurudumu kutoka kwa deki ili uyatoe kutoka kwa
kiwango yao ya kukata kwa kulegeza kirungu kilicho katikati
ya gurudumu (tazama Kielelezo.26 na Kielelezo.27):
• Kwa upande wa kulia (upande sawa kama wa kuelekeza
uchafu unaotolewa), funga kitasa kupambana kwa
mwendo kinyume wa saa ili kulegeza.
• Kwa upande wa kushoto (upande kinyume na wa
kuelekeza uchafu unaotolewa), funga kitasa kupambana
kwa mwendo wa saa ili kulegeza.
Kielelezo. 26
2. Chagua linalofaa kutoka maeneo hayo matatu kwa ajili ya
urefu wa kukata unaohitajika:
• Shimo ya juu kabisa kwa deki itakupa urefu mkubwa
wa kukata wakati shimo ya chini kabisa kwa deki itakupa
urefu wa kukata.
!
KUMBUKA! Magurudumu yote manne ni lazima yawe
katika kiwango sawa ya kukata shimo za urefu.
3. Funganisha magurudumu kwa urefu uliochaguliwa wa
kukata kwa kusukuma komeo la gurudumu ndani ya shimo na
kukaza (tazama kielelezo.28):
• Kwa upande wa kulia (upande sawa kama wa kuelekeza
uchafu unaotolewa), funga kitasa kwa mwendo wa saa ili
ukaze.
• Kwa upande wa kushoto (upande kinyume na wa
kuelekeza uchafu unaotolewa), funga kitasa kwa mwendo
ulio kinyume na wa saa ili ukaze.
Kwa modeli zingine zote
Urefu wa kukata unalainishwa katikati na wengo wa kupimia
urefu wa kukata:
1. Vuta wengo ya kupimia urefu wa kukata kutoka kwa deki
mpaka itoke kwa shimo ili kuitoa kutuko sehemu imewekwa
(see Kielelezo 29).
2. Songeza mpini mbele au nyuma kulingana na mashine
na ulainishe na shimo ili kupata urefu mzuri wa kukata (ona
Kielelezo.30):
• Shimo kuelekea mbele ya mashine ni urefu chini ya.
• Shimo kuelekea mbele ya mashine ni urefu mkubwa
zaidi wa kukata.
Kielelezo.27
Kielelezo 28.
Kielelezo. 29
Kielelezo.30
11

Publicité

Table des Matières
loading

Ce manuel est également adapté pour:

866081-00866083-00866084-00866085-00866086-00866087-00

Table des Matières