Murray 866079-00 Manuel Utilisateur page 79

Table des Matières

Publicité

Les langues disponibles
  • FR

Les langues disponibles

  • FRANÇAIS, page 38
F1
F2
Mafuta na mvuke wake yanaweza kuwaka moto haraka sana
na kulipuka. Moto au mlipuko unaweza kusababisha majeraha
mabaya ya moto au kifo.
F2 ILANI! Gesi ya eksozi ya mashine iko na vitu vilivyo na
sumu . Usitumie injini katika maeneo yaliyofungwa au yasiyo
na hewa ya kutosha.
F3 Kuendesha injini hutoa joto. Sehemu za injini, hasa kizuia
kelele, huwa moto sana. Unaweza kuchomeka unapokigusa.
!
ILANI! Weka ishara za usalama wazi na zionekane
kwenye vifaa. Badilisha ishara za usalama kama
zimekosa au hazisomeki.
5. Maelekezo ya matumizi salama
5.1 Mafunzo
1. Soma maelekezo kwa makini. Elewa kabisa vidhibiti na
matumizi sahihi ya mashine ya kukata nyasi kabla ya kuanza.
2. Usiwaruhusu kamwe watoto au watu usio wa kawaida
na maelekezo hayo kutumia mashine. Sheria za eneo lako
zinaweza kuzuia umri wa mwendeshaji.
3.Elewa kuwa mwendeshaji au mtumiaji atawajibika kwa ajali
au majanga kutokea kwa watu wengine au mali zao.
4.Waendeshaji lazima wapokee mafunzo sahihi katika
matumizi, marekebisho na uendeshaji wa mashine, Ikiwa ni
pamoja na matumizi yaliyo marufuku.
5.2 Uandalizi
1. Daima uvae viatu vikubwa visivyoteleza na longi ndefu
wakati wa uendeshaji wa mashine. Usitumie mashine wakati
uko mguu tupu au umevaa viatu vilivyo wazi.
2. Vaa miwani ya usalama kila wakati unatumia mashine ili
ulinde macho yako kutoka vitu vigeni ambavyo vinaweza
kutupwa kutoka kwa mashine.
3. Tumia mashine wakati kuna muonekano mzuri, kama
mchana au katika mwanga mzuri.
4. Kwa uyakinifu, epuka kukata nyasi iliyo na nyasi. Kupungua
kwa nguvu ya magurudumu kukamata chini kunaweza
kusababisha iteleze.
E1
F3
A4
5. Usikate nyasi na mashine kwa hali ya hewa kama vile
mvua, upepo mkali, au radi.
6. ONYO! Usitumie mashine ya kukata nyasi wakati kuna
hatari ya umeme.
7. Usiwahi tumia mashine ya kukata nyasi wakati watu - hasa
watoto - au wanyama wa nyumbani wako karibu.
8. Kagua kabisa eneo ambalo mashine itatumika na utoe
vitu vyote kama vile mawe, midoli, vijiti, waya, na kadhalika
ambayo yanaweza kutupwa na mashine.
9. Usitumie mashine hii wakati umelewa, umetumia dawa
za kulevya au dawa nyingine ambayo inaweza kusababisha
usingizi au kuathiri uwezo wako wa kuitumia mashine hii kwa
usalama.
10. Kabla ya kutumia, daima fanya ukaguzi kwa kuangalia
mashine ili kuhakikisha kuwa vipengele vyote vipo,
havijaharibika na vimewekwa vizuri:
- Angalia hali ya ubapa, komeo ya ubapa na muunganisho wa
sehemu ya kukata. Badilisha ubapa uliozeeka au kuharibiwa
na komeo kama seti kamili ili kuhifadhi mizani.
- Badilisha kifaa kinachonyamazisha eksozi kama iko na
shida.
11. TAHADHARI! Usiwahi tumia mashine hii ikiwa
na vyombo vya usalama vilivyoharibika. Mlango wa
nyumaUsiitumie mashine bila vifaa vya usalama kama vile
mlango wa nyuma, kifuniko ya kando ya kutolea uchafu, kifaa
cha kuelekeza uchafu kilicho kando ya mashine au kifaa
kinachoshikilia nyasi:
- Modeli MP450D20 lazima iwe na kifaa cha kuelekeza
uchafu kilicho kando ya mashine kabla itumiwe.
12. Mfumo au vipengele vya usalama vya mashine
havitaharibiwa au kulemazwa.
13. Kasi ya injini imeamuliwa, usijaribu kubadilisha au
kuharibu kasi ya injini.
14.ILANI! Mafuta na mvuke wake unaweza kuwaka moto
haraka sana na kulipuka. Moto au mlipuko unaweza
kusababisha majeraha mabaya ya moto au kifo.
- Hifadhi mafuta katika vyombo hasa vilivyoundwa kwa lengo
hili.
- Usiwahi toa kifuniko kwa tenki ya mafuta au kuongeza
mafuta wakati injini inatumika au wakati injini iko moto.
- Jaza au toa mafuta tu katika eneo iliyo na usambazaji wa
hewa vizuri.
- Usivute sigara au kuruhusu moto au cheche katika aidha
mazingira ambayo tenki inajazwa au kutolewa mafuta au
mahali mafuta imehifadhiwa.
- Usijaze tenki ya mafuta kupindukia.
- Ikiwa mafuta yamemwagika, usijaribu kuwasha injini lakini
ondoa mashine mbali na eneo lililomwagika na epuka kuunda
chanzo chochote cha mwako mpaka mivuke ya mafuta
itawanyike.
- Rudisha vizuri vifuniko vyote vya tenki ya mafuta na kontena.
15.ILANI! Epusha ngozi kugusana na petroli mara kwa mara
au kwa muda mrefu na pia kuvuta pumzi ya mvuke wa petroli.
7

Publicité

Table des Matières
loading

Ce manuel est également adapté pour:

866081-00866083-00866084-00866085-00866086-00866087-00

Table des Matières