Briggs & Stratton Vanguard 290000 Manuel De L'opérateur page 45

Table des Matières

Publicité

Les langues disponibles
  • FR

Les langues disponibles

  • FRANÇAIS, page 23
Shughulikia Mfumo wa Eneo la kutolea
moshi
Onyo
Injini inayoendesha inazalisha joto. Sehemu za injini, hususan mafla, huwa
moto zaidi.
Kuchomeka vikali kunaweza kusababishwa unapogusana nazo.
Uchafu unaoweza kuwaka, kama vile majani, nyasi, brashi n.k. unaweza
kushika moto.
• Ruhusu mafla, silinda na mapezi ya injini kupoa kabla ya kugusa.
• Ondoa uchafu uliokusanyika kutoka kwenye eneo la mafla na eneo la silinda.
• Ni ukiukaji wa Msimbo wa Rasilimali wa Umma wa California, Sehemu ya 4442,
kutumia au kuendesha injini katika eneo linazungukwa na msitu, lililozungukwa na
brashi, au lililo na nyasi isipokuwa mfumo wa eneo la kutolea moshi una kishika
cheche, kama ilivyofafanuliwa kwenye Sehemu ya 4442, iliyodumishwa kwenye
mpangilio wenye ufanisi wa kufanya kazi. Mamlaka mengine ya Majimbo au
shirikisho yanaweza kuwa sheria sawa. Wasiliana na mtengenezaji wa kifaa asili,
muuzaji wa rejareja, au mtoa huduma ili kupata kishika cheche kilichobuniwa kwa
mfumo wa eneo la kutolea moshi uliosakinishwa kwenye injini hii.
Ondoa uchafu uliokusanyika kutoka kwenye mafla na eneo la silinda. Kagua mafla kwa
nyufa, kutia kutu, au uharibifu mwingine. Ondoa kifaa cha kusonga au kishika cheche,
iwapo kipo, na ukague kwa uharibifu au uzuiaji wa kaboni. Iwapo uaribifu utapatikana,
sakinisha sehemu za ubadilishaji kabla ya kuendesha.
Onyo
Sehemu za ubadilishaji lazima ziwe sawa na zilizosakinishwa katika eneo sawa
kama sehemu asili. Sehemu zingine huenda zisitekeleze vilevile, zinaweza kuharibu
kitengo, na inaweza kusababisha majeraha.
Badilisha Mafuta ya Injini
Tazama Kielelezo: 8, 9, 10
Mafuta yaliyotumiwa ni bidhaa taka yenye madhara na lazima itupwe vizuri. Usitupe
pamoja na taka ya nyumbani. Wasiliana na mamlaka yako ya ndani, kituo cha usaidizi
au mtoa huduma kwa utupaji/kutumia upya salama kwa bidhaa.
Ondoa Mafuta
1.
Injini ikiwa bado ina joto, tenganisha waya ya kuziba cheche na uihifadhi mbali na
kuziba cheche (E) (D, Kielelezo 8).
2.
Ondoa kifaa cha kuangalia kiwango cha mafuta (F, Kielelezo 9).
3.
Ondoa kuziba ya kutoa mafuta (F, Kielelezo 10). Weka mafuta kwenye kontena
iliyoidhinishwa.
4.
Baada ya mafuta kutolewa, sakinisha na ukaze kuziba ya kutoa mafuta (F,
Kielelezo 10).
Badilisha Kichujio cha Mafuta, iwapo kipo
Baadhi ya modeli zina kichujio cha mafuta. Kwa vipindi vya ubadilishaji, tazama Ratiba
ya Udumishaji.
1.
Toa mafuta kutoka kwenye injini. Tazama eneo la Kuondoa Mafuta .
2.
Ondoa kichujio cha mafuta (G, Kielelezo 10) na ukitupe vizuri.
3.
Kabla usakinishe kichujio kipya cha mafuta, lainisha kiasi kwa kifaa cha kichujio
cha mafuta kwa mafuta freshi na safi.
4.
Sakinisha kichujio cha mafuta kwa mkono hadi kifaa kisgusane na adapta ya
kichujio cha mafuta, kisha kaza kichujuio cha mafuta kwa mizunguko 1/2 hadi 3/4.
5.
Ongeza mafuta. Tazama sehemu Ongeza Mafuta .
6.
Washa na uendeshe injini. Wakati injini inachemka, angali uvujaji wa mafuta.
7.
Zima injini na uangalie kiwango cha mafuta. Kiwango sahihi cha mafuta kiko juu
ya kiashiria kilichojaa (B, Kielelezo 9) kwenye kifaa cha kuangalia kiwango cha
mafuta.
Ongeza Mafuta
• Hakikisha kuwa mtambo uko katika kiwango.
• Safisha eneo la kujaza mafuta kutokana na uchafu wowote.
• Tazama Vipimo katika eneo la kiwango cha mafuta.
1.
Ondoa kifaa cha kuangalia kiwango cha mafuta (A, Kielelezo 9) na upanguse kwa
kitambaa safi.
2.
Polepole weka mafuta kwenye eneo la kuweka mafuta la injini (C, Kielelezo 9).
Usijaze kupita kiasi. Baada ya kuongeza mafuta, subiri dakika moja na kisha
angalia kiwango cha mafuta.
3.
Sakinisha na ukaze kifaa cha kuangalia kiwango cha mafuta (A, Kielelezo 9).
4.
Ondoa kifaa cha kupima mafuta na ukague kiwango cha mafuta. Kiwango sahihi
cha mafuta kiko juu ya kiashiria kilichojaa (B, Kielelezo 9) kwenye kifaa cha
kuangalia kiwango cha mafuta.
5.
Sakinisha upya na ukaze kifaa cha kuangalia kiwango cha mafuta (A, Kielelezo 9).
6.
Unganisha waya ya kuziba cheche kwenye kuziba cheche (E), (D, Kielelezo 8).
Shughulikia Kichuja Hewa
Tazama Kielelezo: 11
Onyo
Fueli na mvuke wake unawaka na kulipuka hara sana.
Moto au mlipuko unaweza kusababisha kuchomeka vikali au kifo.
• Kamwe usiwashe na kuendesha wakati uunganishaji wa kisafisha hewa (iwapo
kipo) au kichuja hewa (iwapo kipo) kimeondolewa.
Notisi
Usitumie hewa au majimaji yaliyoshinikizwa kusafisha kichujio. Hewa
iliyoshinikizwa inaweza kuharibu kichujio na majimaji yatayeyusha kichujio.
Tazama Ratiba ya Udumishaji wa mahitaji ya huduma.
Modeli mbalimbali aidha zinatumia povu au kichujio cha karatasi. Baadhi ya modeli pia
zinaweza kuwa na kisafishaji cha mwanzo cha hiari ambacho kinaweza kusafishwa na
kutumiwa tena. Linganisha mifano kwenye mwongozo na aina iliyosakinishwa kwenye
injini yako na ushughulikie kama ifuatavyo.
1.
Fungua bizimu (A, Kielelezo 11) na uondoe kifuniko (B).
2.
Ondoa kifuniko cha (C, Kielelezo 11) na kishikiliaji (D).
3.
Ili kuzuia uchafu kuanguka kwenye kabureta, kwa makini ondoa elementi ya povu
(C, Kielelezo 11) kwenye sehemu ya chini ya kichuja hewa (D).
4.
Ondoa kichujio cha hewa (E, Kielelezo 11).
5.
Ili kulegeza uchafu, kwa utaratibu gonga kichujio katika eneo gumu. Iwapo kichujio
ni kichafu kupita kiasi, badilisha na kichujio kipya.
6.
Ondoa kisafishaji cha mwanzo (F, Kielelezo 11), iwapo kipo, kutoka kwenye
kichujio cha hewa (E).
7.
Osha kisafishaji cha mwanzo (F, Kielelezo 11), iwapo kipo, kwenye sabuni oevu
na maji. Ruhusu kisafishaji cha mwanzo kukauka kabisa. Usiweke mafuta kwenye
kisafishaji cha mwanzo.
8.
Sakinisha kisafishaji cha mwanzo kilichokauka (F, Kielelezo 11), ikiwa kipo,
kwenye kichujio cha hewa (E).
9.
Sakinisha kichujio cha hewa (E, Kielelezo 11) na kuweka salama kwa kishikiliaji
(D) na mkanda (C).
10.
Sakinisha jalada (B, Kielelezo 11) na ulinde kwa bizimu(s) (A).
Fanyia huduma Mfumo wa Mafuta
Tazama Kielelezo: 12
Onyo
Mafuta na mvuke wake unaweza kuwaka moto na kulipuka kwa haraka sana.
Moto au mlipuko unaweza kusababisha majeraha mabaya ya kuchomeka au
kifo.
• Weka mafuta mbali na spaki, moto ulio wazi, taa za gesi, joto, na vyanzo vingine
vya mwako.
• Kagua njia za mafuta, tangi, kifuniko na sehemu nyingine mara kwa mara ili uone
kama kuna nyufa na uvujaji. Badilisha kama itahitajika.
• Kabla ya kusafisha au kubadilisha kichujio cha mafuta, mimina mafuta kutoka kwa
tangi ya mafuta au ufunge vali ya kuzuia mafuta.
• Mafuta yakimwagika, subiri mpaka pale ambapo yatavukiza kabla ya kuwasha
injini.
• Sehemu za ubadilishaji lazima ziwe sawa na zilizosakinishwa kwa namna sawa na
sehemu asili.
Kichujio cha Mafuta, iwapo kipo
1.
Kabla ya kubadilisha kichujio cha mafuta (A, Kielelezo 12), iwapo kipo, mimina
mafuta kutoka kwa tangi la mafutai au funga vali ya kuzuia mafuta . La sivyo,
mafuta yanaweza kuvuja na kusababisha moto au mlipuko.
45

Publicité

Table des Matières
loading

Ce manuel est également adapté pour:

Vanguard 300000Vanguard 350000Vanguard 380000

Table des Matières